Select Page

BUILDING ON THE PAST and LOOKING FORWARD TO THE FUTURE

KUJENGA JUU YA YALIYOPITA NA KUTAZAMA MBELE KWA YANAYOKUJA

A GLOBAL VISION agreed by 15,000 young people in Scotland and Tanzania

A GLOBAL VISION (Summary)

We, the young people of Scotland and Tanzania, pledge to build a better future:

Where everyone has access to healthcare and everyone has enough to eat.

Where our environment is clean and our climate is stable.

Where we all receive a decent education and we can all find meaningful employment.

Where our economy is based on fair trade and we can all enjoy equal opportunities.

Where our government is open and democratic and we all live free from the fear of violence.

Where we respect our cultures and traditions and celebrate our rich diversity.

Together we will build a better future, shared as equals, hand in hand.

Twende Pamoja


Government

We believe that elections in both our countries should be kept open and fair and that democracy should operate freely and properly. We believe that there must be an end to corruption and that strict laws and regulations should operate within our systems of government.
We believe the development of infrastructure and communications in our countries will improve the quality of our lives.

SERIKALI

Tunaamini kwamba chaguzi katika nchi zetu zote zinapaswa kuwa huru, wazi na za haki, na kuwepo na demokrasia huru na nzuri.Tunaamini kwamba lazima kuwe na mwisho wa rushwa na sheria kali kuhusu rushwa;  pia kanuni lazima zitumike ndani ya mifumo ya serikali zetu.
Tunaamini maendeleo ya miundombinu na mawasiliano katika nchi zetu yataboresha ubora wa maisha yetu.

The Economy

We see the effects of an unfair distribution of wealth in our countries and how this injustice creates unnecessary difficulties for the people around us. We would like to see a just minimum wage so that workers profit from their hard work and benefit from the natural wealth of their own countries.
We believe in Fair Trade between countries and businesses and a market based on equal opportunities. No country should benefit at the expense of another, but all should work together and share improvements in science and technology.
We seek the development of new and prosperous towns and cities and the regeneration of those that already exist. Encouragement and support is essential for new investors and businesses

Uchumi

Tunaona matokeo yamgawanyo wa mali usio sawa katika nchi zetu na jinsi gani udhalimu unavyojenga matatizo yasiyo ya lazima kwa watu wa karibu nasi. Tungependa kuona mshahara wa haki  wa kima cha chini ili wafanyakazi wafaidike kutokana na kazi ngumu wanazofanya na kufaidika na rasilimali za nchi zao.
Tunaamini katika biashara ya usawa kati ya nchi na nchi,pia biashara na masoko kwa msingi wa fursa sawa. Hakuna nchi itatakiwa kufaidika kwa gharama ya mwingine, wote wanapaswa kufanya kazi kwa pamoja na kushiriki maboresho ya sayansi na teknolojia.
Sisi tunatafuta maendeleo na mafanikio ya miji na majiji mapya na kuanzisha upya yale ambayo tayari yapo. Ushawishi na misaada ni muhimu kwa ajili ya wawekezaji na biashara mpya.


Education

We understand that there is a need for education for all people in order that we may develop our world in the right way. We understand that through studying well at school and beyond we can help eradicate poverty and injustice in our countries.
Governments should recognize and honour the rights of all human beings to receive a good education and should work together to improve education globally. We believe that the best facilities should be provided in all schools, colleges, universities and all other educational institutions. Young people should not be held back in their studies by the lack of any necessary learning resources.

Elimu

Tunafahamu kwamba kuna haja ya elimu kwa watu wote ili tuweze kuendeleza dunia yetu katika njia sahihi. Tunafahamu kwamba kwa kusoma vizuri katika shule na vyu bora, itatusaidia kuuondoa umasikini na udhalimu katika nchi zetu
Serikali inapaswa kutambua na kuheshimu haki za binadamu wote katika kupata  elimu bora na wanapaswa kufanya kazi pamoja ili kuboresha elimu yau limwenguni. Tunaamini kwamba shule, vyuo, vyuovikuu nataasisi zote za elimu vinapaswa kupewav ifaa bora kabisa.Pia tunaamini kuwa vijana hawapaswi kuzuiwa kusoma kwasababuzaku kosekana kwa rasilimali yo yote muhimu  ya kujifunzia.

Employment

We believe that appropriate opportunities and support should be available to help young people make the transition from education to employment. We believe we should work together globally to solve problems of unemployment.

Ajira

Tunaamini kwamba fursa sahihi na msaada lazima ipatikane kuwasaidia vijanak ufanyama badiliko kutoka kwenye elimu kwenda kwenye ajiri.Tunaamini kuwa ni lazima tufanye kazi kwa pamoja ulimwenguni ilikutatua matatizo ya ukosefu wa ajira.


The Environment

We understand that pollution is a problem in Tanzania and Scotland and one that the whole planet faces. We recognise the effects of global warming.
We hope that the natural environment that surrounds our places of learning and wider communities will be preserved for those who follow us.
We believe that by sharing an education about the environment, recycling and planting more trees we can preserve the world of our ancestors for our successors.

Mazingira

Tunatambua uchafuzi wa mazingira ni tatizo katika Tanzania na Scotland, pia ni tatizo kwa dunia nzima. Tunatambua madhara ya ongezeko la joto duniani
Ni matumaini yetu kwamba mazingira ya asiliy anayozunguka maeneo yetu yakujifunzia na jamiiz zetu yatahifadhiwa kw aajili ya wanaokuja baada yetu.
Tunaamini kwamba, kwakushirikishana elimu kuhusu mazingira, kutengeneza upyana kupanda miti zaidi tunaweza kuhifadhi dunia yamababu zetu kwa ajili ya warithi wetu.

Health

We would like to live in a world free from hunger and disease. We believe the provision of health care is a basic human right.

 

Health education is essential to make people aware of wise choices and decisions about personal and family health issues.

 

We understand how sexual diseases have an effect on families and communities in both Tanzania and Scotland. We recognise a need for sex education within and outwith our places of learning to stop the spread of sexually transmitted diseases.

 

We believe that the abuse of drugs and alcohol are problems in both our countries and across the world.

Afya

Tungependelea kuishi kwenye ulimwengu usiokuwa na njaa wala magonjwa. Tunaamini  kuwa upatikanaji wa huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila binadamu.

 

Elimu ya afya ni muhimu ili kuwasaidia watu kufanya maamuzi na uchaguzi wa busara kuhusu masuala binafsi na afya ya familia.

 

Tunaelewa jinsi  magonjwa  ya ngono  yalivyo na madhara katika familia na jamii zetu katikaTanzania na Scotland.Tunatambua umuhimu na haja ya elimu ya ngono ndani na nje katika maeneo yetu ya kujifunzia ili kuzuia kuenea kwa magonjwa ya zinaa

 

Tunaamini kwamba matumizi mabaya ya dawa za kulevya na pombe ni matatizo katika nchi zetu ulimwenguni kote.


Human Rights

We believe that everyone must understand their rights and work for justice and equality. We know that peace and justice can only be brought about through co-operation and solidarity.
We would like all people to be free from the threat of capital punishment and that the human rights of everyone are respected.
We seek sexual equality across the world with the same opportunities provided to all people. We would like to see the responsibilitiesand roles of men and women at home and in the community shared fairly.
We believe that everyone in the world should have access to clean running water and electricity.
We believe that people should continue to be respectful to each other and each other’s possessions.
We look forward to a world free from racial and religious discrimination.

HAKI ZA BINADAMU

Tunaamini kwamba kila mmoja anapaswa kufahamu haki yake na kufanya kazi kwabidii,haki na usawa. Tunajua ya  kwamba amani na haki vinaweza tu kuletwa kupitia ushirikiano na mshikamano.
Tungependa watu wote kuwa huru kutokana na tishio la adhabu ya kifo na kwamba haki za binadamu zinaheshimiwa kwa kila mtu
Sisi tunatafuta usawa wa kijinsia duniani kote na fursa sawa zinazotolewa kwa watu wote. Tungependa kuona majukumu na wajibu wa wanaume na wanawake nyumbani na katika jamii yawe ya kushirikiana kwa pamoja.
Tunaamini kwamba kila mtu katika ulimwengu anatakiwa kupatiwa maji safi na salama ya bomba na umeme.
Tunaamini kwamba watu wanapaswa kuedendelea kumheshimu kila mmoja na pia kuheshimu mali za kila mmoja
Tunatarajia ulimwengu usiona ubaguzi wa rangi wala wa kidini

Life and Culture

We feel that our cultures should continue to keep their traditions alive, including local and traditional music.
We believe that good and open relationships with our family and friends and community are essential.
We believe that by trusting the goodness in others we can work together to create a better world. We are mindful that by using our many gifts and talents we can achieve great things.
We believe that the relationship shared between Tanzania and Scotland is important and hope that it will continue to prosper and grow. We hope that Tanzania and Scotland will continue to flourish as beautiful, peaceful and united countries.

MAISHA NA TAMADUNI

Tunapendekeza na kusisitiza kuwa tamaduni zetu ziendelee kutunza mila na desturi zetu hai, hii ni pamoja na muziki na nyimbo za jadi.
Tunaamini kwamba  mahusiano mazuri na ya wazi kwa familia, marafiki na jamii zetu ni muhimu.
Tunaamini kwamba kwa kuamini wema wa wengine tunaweza kufanya kazi kwa pamoja ili kujenga ulimwengu bora. Tuamini kwambakwa kutumia zawadi na vipaji vyetu tunaweza kufikia mambo makubwa.
Tunaamini kwamba, uhusiano wa pamoja kati ya Tanzania na Scotland ni wa umuhimu, na ni matumaini kuwa utaendelea kufanikiwa na kukua zaidi. Ni matumaini yetu kwamba Tanzania na Scotland zitaendelea kustawi k